Jana Wanachama na Mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa wingi Makao Makuu ya klabu hiyo, Jwangani jijini Dar es salaam kushuhudia mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir
Yanga kwa kushirikiana na Wadhamini wao Haier waliweka TV KUBWA kuwawezesha Wananchi kushuhudia mchezo huo
Hii ni Yanga ina watu....!







ADVERTISE HERE