Mepema leo Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said aliwaongoza watendaji na baadhi ya Wanachama wa Yanga kutoka Tawi la Kibamba, kutoa msaada kwa wagonjwa wenye uhitaji waliolazwa kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili Tawi la Mloganzila
Akiwa Mloganzila, Injinia Hersi pia alipata nafasi ya kumjulia hali Mfanyakazi wa klabu ya Yanga Vedasto Rwegalulila aliyelazwa katika Hospitali hiyo



ADVERTISE HERE