Wachezaji saba Yanga waitwa timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2023
Wachezaji saba Yanga waitwa timu ya Taifa

Wachezaji saba wa Yanga wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambacho kitacheza mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda

Mlinda lango Metacha Mnata na beki Ibrahim Baka ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi hicho

Wachezaji wengine ni Kibwana Shomari, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto na Mudathir Yahya

Aidha kiungo Feisal Salum nae amejumuishwa katika kikosi hicho kitakachocheza na Uganda March 24

Nyota hao wanaungana na wenzao Djigui Diarra (Mali), Fiston Mayele (DR Congo), Kennedy Musonda (Zambia), Stephane Aziz Ki (Burkina Faso) na Khalid Aucho (Uganda)  kufanya idadi ya wachezaji wa Yanga walioitwa timu za Taifa kuwa 12

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’