Kambole, Musonda kuongoza timu ya Taifa Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2023
Kambole, Musonda kuongoza timu ya Taifa Zambia

Washambuliaji wa Yanga Kennedy Musonda na Lazarus Kambole wamejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 27 timu ya Taifa ya Zambia kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023

Nyota hao wamepita katika mchujo wa pili uliofanywa na Kocha Mkuu wa timu hiyo Avant Grant

Kambole anaitumikia Zesco United kwa mkopo na amekuwa katika kiwango bora akifunga mabao manne katika mechi tatu alizoitumikia timu hiyo kwenye ligi

Kama ataendelea kuuwasha moto huzo Zambia, Wananchi watarajie kumuona Kambole akirejea kwenye kikosi cha Yanga msimu ujao

Wakati anatua Yanga akitokea Kaizer Chiefs, Kambole alisaini mkataba wa miaka miwili. Ifikapo mwishoni mwa msimu atakuwa ametumikia mwaka mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’