Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi ya kusaka heshima kwa Wananchi, matokeo ya ushindi yataipeleka Yanga robo fainali









ADVERTISE HERE