Mwananchi umenunua tiketi yako?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2023
Mwananchi umenunua tiketi yako?

Ni siku moja tu imesalia kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United, leo ndio siku ya kukamilisha manunuzi ya tiketi

Mpaka sasa tiketi za VIP A na Royal zimemalizika lakini VIP B nazo zinaelekea mwishoni. VIP C na nyingine bado zinapatikana

Ni mechi muhimu ya robo fainali kwa Yanga, ushindi au sare aina yoyote utaipeleka Yanga nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho

Yanga ndio mwakilishi pekee aliyebaki kwenye michuano ya CAF baada ya Simba kutupwa nje kwenye ligi ya mabingwa hapo jana

Twendeni kwa Mkapa kwa wingi tukaandike rekodi ya kucheza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’