Usajili wa wanaokwenda Congo kuhitimishwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2023
Usajili wa wanaokwenda Congo kuhitimishwa leo

Kwa Wananchi ambao wangepewa kusafiri na kikosi cha Yanga DR Congo, wanapaswa kuwasilisha maombi yao kabla ya saa 10 jioni ya leo Jumatano, March 29 2023

Hii ni fursa adimu kwa shabiki kindakindaki wa Yanga kusafiri na timu yako DR Congo kuongeza hamasa kwenye mchezo muhimu dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, April 02

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kumaliza hatua ya makundi katika nafasi ya kwanza ambayo wanaishikilia kundi D

Itapendeza zaidi kama Yanga itaanzia ugenini kisha kuhitimisha nyumbani kwenye hatua ya robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’