Yanga kuifuata TP Mazembe leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2023
Yanga kuifuata TP Mazembe leo

Kikosi cha Yanga kitaondoka jijini Dar es salaam leo Alhamisi kuelekea DR Congo tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, April 02

Msafara mzima wa Yanga utajumuisha Mashabiki ambao wanakwenda kuiongezea timu hamasa katika mchezo ambao Yanga inahitaji kushinda ili kujihakikishia kumaliza nafasi ya kwanza kundi D

Msafara wa mashabiki utaondoka kwa basi, safari ikianzia Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani saa 6 mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’