Metacha Mnata, nyota wa mchezo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Apr 2023
Metacha Mnata, nyota wa mchezo

Yanga imeibuka na ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo uliopigwa uwanja wa Mazembe huko Lubumbashi

Kila mchezaji kwa nafasi yake alipambana kuhakikisha ushindi huo unapatikana lakini pasipo na shaka, Metacha amestahili kupewa tuzo ya nyota wa mchezo huo

Kazi nzuri ya kuzuia michomo ya hatari kutoka kwa washambuliaji wa TP Mazembe, imeihakikishia Yanga kuondoka na ushindi huo huku mwenyewe akipata cleansheet yale ya kwanza katika michuano ya Shirikisho

Yanga haikumrejesha Metacha kwa bahati mbaya, ni mmoja wa walinda lango bora sana katika ardhi ya Tanzania

Aliporejea Yanga kwenye dirisha dogo, Metacha aliwaomba radhi mashabiki kwa yale yaliyotokea zamani, leo amewaomba radhi kwa vitendo!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’