Bodi ya Ligi Kuu ya NBC imetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu duru ya pili watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili April 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE