Matchday : Rivers United vs Yanga, CAF CC QF1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2023
Matchday : Rivers United vs Yanga, CAF CC QF1

Wananchi wako nchini Nigeria ambapo jioni ya leo majira ya saa 10 kwa saa za Tanzania, watashuka uwanja wa Godswill Akpabio International kuwakabili wenyeji wao Rivers United katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya kombe la Shirikisho la CAF barani Afrika

Msimu huu umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Yanga katika michuano hiyo, matumaini ya Wananchi ni kuona timu yao inaendelea kun'gara katika michuano hiyo

Kikosi cha kocna Nasreddine Nabi leo kina kazi moja tu, kusaka ushindi au matokeo ya sare ugenini ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali katika michuano hiyo

Ikumbukwe dakika nyingine 90 za mkondo wa pili zitapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili ijayo, April 30

Katika Mkutano na Wanahabari jana, Nabi alisema wanatambua ubora wa Rivers United, wamejipanga kukabiliana nao

Nabi alisema timu yake inamabadiliko makubwa ukilinganisha na kikosi alichokuwa nacho mwanzoni mwa msimu uliopita ambacho kilipoteza mechi zote mbili hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Leo utakuwa mchezo tofauti na dhamira ya Yanga ni kupata matokeo mazuri yatakayowaweka katika nafasi nzuri ya kutnga nusu fainali pale tmu hizo zitakaporudiana nchini Tanzania wiki ijayo

Mchezo utapigwa majira ya saa nane mchana kwa saa za Nigeria (saa 10 Tanzania)

Kila la Kheri Wananchi, Kila la kheri mabingwa wa Tanzania..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’