Rivers United yawasili Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2023
Rivers United yawasili Dar

Msafara wa kikosi cha Rivers United, umewasili nchini Alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga

Mchezo huo utapigwa Jumapili, April 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

Wakati wao wakiwasili, kikosi cha Yanga kiko kambini kikiendelea na maandalizi ya mchezo huo ambao Yanga inahitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare ili kutinga nusu fainali

Yanga ilishinda mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa UYO, Nigeria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’