Historia imeandikwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo Yanga ikifanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Rivers United
Yanga imetinga nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-0 yakiwa ni matokeo waliyop0ata kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Nigeria
Ni historia kwa Tanzania, Yanga ikiwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali katika michuano ya CAF
Hongera wachezaji, hongera benchi la ufundi, hongera viongozi wa Yanga na zaidi hongera Wananchi woteeeeeee
NUSU FAINALI IMEWEZEKANA....!


ADVERTISE HERE