Mechi ya nusu fainali FA yapigwa kalenda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2023
Mechi ya nusu fainali FA yapigwa kalenda

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesogeza mbele mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa May 07 katika uwanja wa LITI, Singida

Baada ya mechi ya ligi kuu dhidi ya Singida BS ambayo itapigwa Alhamisi, May 04, Yanga itarejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Malumo Galants ambao utapigwa May 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’