Mshindi wa kwanza 'Twenzetu kwa Madiba' akabidhiwa nyaraka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2023
Mshindi wa kwanza 'Twenzetu kwa Madiba' akabidhiwa nyaraka

Mapema leo maafisa wa klabu ya Yanga walimtembelea na kumkabidhi nyaraka mshindi wa kwanza wa Tiketi ya TwenzetuKwaMadiba Hussein Misembe maeneo ya Mwananyamala Kisiwani

Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama Haji Mfikirwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe walimkabidhi nyaraka maalum kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea Afrika kusini katika mchezo wa ugenini dhidi ya Marumo Gallants ambao utapigwa May 17

Shindano la kuwapata mashabiki 10 linaendelea ambapo leo mshindi wa pili atapatikana kupitia droo itakayofanyika usiku kuanzia saa 3:00 ndani ya Azam TV

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’