Hongera Kessy kwa kurejea Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2018
Hongera Kessy kwa kurejea Stars
Miongoni mwa wachezaji ambao kuitwa kwao kwenye kikosi cha Taifa Stars kulitarajiwa ni beki wa kulia wa Yanga Hassani Hamis Kessy.

Mapema leo kocha Mkuu wa Taifa Stars Salum Mayanga alitangaza majina ya wachezaji 23 wanaounda kikosi cha Tanzania kitakachocheza michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na DRC baadae mwezi huu.

Yanga imeweza kutoa wachezaji watano katika kikosi hicho sambamba na Kessy wengine ni Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Ibrahim Ajib.

Kurejea kwa Kessy Stars ni faraja kubwa kwa mlinzi huyu mahiri zaidi upande wa kulia kwa sasa ambaye amekuwa akijituma sana.

Ukifuatilia michezo mitano iliyopita ya Yanga, Kessy amekuwa akin'gara na ndiye chachu ya ushindi kwa kutengeneza mabao na mwenyewe kufunga pia.

Bila shaka hataishia kuitwa tu, kocha Mayanga atampa nafasi ya kucheza na si kwa kumpendelea, bali ni kwa uwezo wake anauonyesha sasa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’