Happy Birthday Mudathir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2023
Happy Birthday Mudathir

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo kiraka wa Yanga Mudathir Yahya Abas

Kwa Mudathir Wananchi wanaona kama wameokota dodo kwenye mchungwa kutokana na umahiri anaoendelea kuonyesha

Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la usajili akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Azam Fc

Usajili wake ulitokana na mapendekezo ya benchi la ufundi ili kuziba nafasi ya Feisal Salum aliyeamua kujiengua kikosini

Wananchi wanajivunia usajili wake, wanafurahia kazi yake nzuri uwanjani

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY MUDATHIR...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’