Yanga kuivaa Kagera Sugar kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2018
Yanga kuivaa Kagera Sugar kesho
Baada ya kukamilisha mchezo wa mzunguuko wa kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers na kupoteza kwa mabao 2-1, kikosi cha Yanga kesho Ijumaa kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa 21.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa ili kuipa sapoti timu yao.

Ten amesema Yanga inahitaji ushindi ili kupunguza tofauti ya pointi dhidi ya Simba kuendelea kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo.

Baada ya matokeo mabaya kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa, bila shaka kikosi cha Yanga kitapambana ili kuibuka na ushindi wa kishindo kuwafuta machozi mashabiki wake
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’