Diarra ataja siri ya mafanikio yake Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2023
Diarra ataja siri ya mafanikio yake Ligi Kuu

Baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi yake mwenyewe, mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amesema anafurahi kuendelea kuimarika huku akitaja siri, ni kuzoea ligi na ubora wa safu yake ya ulinzi

Diarra raia wa Mali amefikisha clean sheet ya 16 akizidi moja tu ya msimu uliopita ambao alimaliza na 15, zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari amejihakikishia kushinda tuzo ya kipa bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote.

"Nafikiri pia nimeshazoea ligi ya Tanzania msimu wangu wa kwanza kucheza nilifanya vizuri na naendelea kufanya hivyo, sio rahisi ni juhudi binafsi na kusaidiwa na ukuta imara unaojengwa na timu yetu"

"Kilicho fanyika msimu huu kufikisha clean sheet 16 nikiwa na mechi tatu mkononi natamani pia msimu ujao niendelee kupanda juu ya hapo na sio kuteremka kwani kuwa bora langoni kunaniongezea sifa zaidi kwenye ligi ya Tanzania," alisema Diarra

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’