Hersi anaitangaza Yanga Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2023
Hersi anaitangaza Yanga Afrika Kusini

Baada ya kufanya mahojiano na Robert Marawa kupitia redio 947 hapo jana, Rais wa Yanga Injinia Hersi Ally Said leo asubuhi amefanya mahojiano na kituo cha televisheni ya taifa Afrika Kusini SABC kwenye kipindi cha Morning Live jijini Johannesburg

Hersi aliongelea maendeleo ya klabu ya Yanga kwa ujumla pamoja na maandalizi ya mchezo wa nusu fainali kombe la shirikisho dhidi ya Marumo Gallants utakaopigwa kesho Jumatano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
20m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’