Ibrahim Ajib aka 'Mzee wa makorokoro'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2018
Ibrahim Ajib aka 'Mzee wa makorokoro'
Kwa tathmini rahisi tu, Ibrahim Ajib 'Mzee wa makorokoro' ndiye anapaswa kuwa nyota wa mchezo leo baada ya kuisaidia Yanga kwa kiasi kikubwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar.

Baada ya ukame wa mabao kwa muda mrefu katika ligi, Ajib leo amefunga bao lake la sita msimu huu huku pia pasi yake murua ikizaa bao la pili la Yanga.

Ajib ndiye aliyekuwa akiisumbua sana ngome ya Kagera Sugar. Hakika kwa sasa ndiye mchezaji mahiri zaidi katika kupiga pasi za mabao.

Kiwango chake katika klabu ya Yanga, kimewafanya mashabiki wamsahau kwa haraka sana Haruna Niyonzima aliyetimkia Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’