Fainali ni Milioni 20 kwa kila bao la ushindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2023
Fainali ni Milioni 20 kwa kila bao la ushindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutoa bonas ya Tsh Milioni 20 kila goli litakalofungwa na Yanga katika mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger

Aidha Dk Samia ametangaza kuwa Serikali itatoa usafiri wa ndege kuipeleka Yanga Algeria pamoja na mashabiki katika mchezo wa mkondo wa pili ambao utapigwa Juni 03, Mechi ya mkondo wa kwanza itapigwa May 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kwenye nusu fainali Yanga ilivuna Tsh Milioni 40 kutokana na mabao manne waliyofunga katika hatua hiyo

Rais Dk Samia aliongeza dau la bonas kutoka Tsh Milioni 5 hatua ya makundi, Tsh Milioni 10 nusu fainali na sasa ni Tsh Milioni 20 fainali

Kazi ni moja kwa Wananchi, kutomuangusha Rais kwa kuendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’