Yanga yakwepa hujuma Algeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2023
Yanga yakwepa hujuma Algeria

Katika kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger, uongozi wa timu hiyo umeweka mikakati ya kukwepa hujuma zote wakiwa Algeria

Kikosi cha Yanga kinatarajia kuondoka nchini kesho kuelekea Algers kwenye mchezo wa pili wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ambao utapigwa Jumamosi, Juni 03 katika uwanja wa July 05

Tayari Yanga imetanguliza maafisa wake mapema nchini Algeria ili kuhakikisha timu itakapowasili haikabiliwi na changamoto zozote za nje ya uwanja

Yanga wanatarajia itaondoka nchini na ndege waliyopewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan ambayo itakaa kuwasubiri baada ya mechi kuwarudisha nchini.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa msimu wa pili mfululizo wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao mawili ili kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Tanzania kutwaa kombe la Shirikisho (CAF CC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’