Katika siku ya kihistoria kwa Yanga, ni kumbukumbu ya kuzaliwa Kocha wa viungo Gueldich Helmy
Siku hii inaweza kuwa na historia kubwa kwa Helmy ambaye leo kazi yake inaweza kuisaidia Yanga kutwaa kombe la Shirikisho CAF
Wachezaji wa Yanga leo watahitaji kumwagika jasho nyingi katika uwanja wa July 05 katika mchezo wa pili wa fainali dhidi ya USM Alger
Na ikawe ikawe siku ya furaha kwa Prof Helmy ambaye ni moja ya chachu ya mafanikio ya Yanga katika msimu huu
Happy Birthday Helmy..
ADVERTISE HERE