Leo ni 'Day of the Champions'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2023
Leo ni 'Day of the Champions'

Jiji la Dar es salaam linatarajiwa kusimama kwa saa kadhaa leo kupisha shamrashamra za ubingwa Ligi Kuu ya NBC ambao Yanga wametwaa kwa msimu wa pili mfululizo

Shughuli itaanza saa 5 asubuhi uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kikosi kikitarajiwa kuwasili kutoka mkoani Mbeya ambako walikabidhiwa kombe jana

Msafara wa Yanga utaanzia 'Airport' kuelekea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani ukipita Veta, Kamata na kusimama Msimbazi kwa muda kabla ya kuelekea Jangwani

Gari maalum litakalobeba wachezaji tayari limeandaliwa na linaelekea uwanja wa Ndege tayari kuwapokea wachezaji

Kwa mara nyingine, Yanga inakwenda kuionyesha Dunia ukubwa wake...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’