Dar imesimama tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kushangilia ushindi wa mataji matatu kwa msimu wa pili mfululizo
Parade ilianzia Karume kuelekea Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam
Kwa hakika huu ni msimu bora kwa Yanga na msimu wa furaha kwa mashabiki wa Yanga



ADVERTISE HERE