Mshery apona majeraha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2023
Mshery apona majeraha

Mlinda lango wa Yanga Aboubwalib Mshery anatarajiwa kurejea kikosini baada ya mapumziko ya mwishoni mwa msimu

Mshery amepona majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani miezi sita

"Namshukuru Mwenye ez Mungu afya yangu imeimarika na nilishaanza mazoezi, natumai msimu ujao nitakuwa tayari kucheza uwanjani," alisema Mshery

Ni wazi msimu ujao kutakuwa na ushindani eneo la golikipa pamoja na kuwa mdaka mishare, Djigui Diarra ataendelea kubaki namba moja

Ushindani utabaki kati ya Metacha Mnata na Mshery wakati Erick Johora mkataba wake na Yanga umemalizika na huenda asiwe sehemu ya kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania Bara msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’