Makombe yamuongezea mzuka Nkane

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2023
Makombe yamuongezea mzuka Nkane

Winga Denis Nkane amesema ni mafanikio makubwa kwake kutwaa mataji ya Ligi Kuu Bara, ASFC mara mbili akiwa na Yanga, huku akisema amejifunza vitu vikubwa vya maisha yake ya soka vilivyombadilisha mtazamo na kumjengea kujiamini kuwa bora zaidi

Uwepo wa mchanganyiko wa mastaa wazawa na wageni wenye uwezo na vipaji tofauti ndio umemfanya Nkane apate vitu vipya vya kiufundi, akisisitiza mtazamo wake umabadilika akiamini ndoto zake za kufika mbali zitatimia

"Kila mchezaji anashindana ili apate namba, ndani ya kikosi cha Yanga kina vipaji vya aina yake, kuna funzo nimelipata la kuamini kwenye ndoto zangu kubwa kwamba zitatimia kwa sharti la kupambana bila kukata tamaa"

"Mfano nilikuwa natamani siku moja kuvaa medali ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara na michuano ya CAF na nimezivaa, nimepata nguvu za kuamini vitu vikubwa zaidi, jambo la msingi hakuna kinachoshindikana mbele ya bidii"

"Kupata nafasi ndani ya kikosi cha Yanga kumenisaidia kunijenga na kujiamini zaidi, kocha Nabi alikuwa na kawaida ya kumwamini kila mchezaji inakuwa kazi kwao kuonyesha anachokitarajia kutoka kwako, pia nimepata picha ya namna ya kujipanga zaidi msimu ujao," alisema Nkane

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’