Yanga imetangaza kuachana na mlinda lango Erick Johola baada ya mkataba wake kumalizika
Johola ameitumikia Yanga kwa misimu miwili akitokea klabu ya Aigle Noir ya Burundi

Kila la kheri Johola...!
ADVERTISE HERE