Kamusoko ashukuru mashabiki kwa uvumilivu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2018
Kamusoko ashukuru mashabiki kwa uvumilivu
Kiungo Thabani Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Yanga kwenda nchini Botswana kuikabili Township Rollers kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Kamusoko amewashukuru mashabiki wote waliokuwa nae bega kwa bega tangu kipindi kigumu cha majeruhi.

"Nawashukuru nyote mliokuwa nami wakati wote wa shida. Nilikuwa na wakati mgumu nilipokuwa majeruhi. Sikuwa na furaha kwa sababu hii ndio kazi yangu," amesema Kamusoko.

"Wakati wa shida ndio unaweza kuwafahamu rafiki zako wa kweli. Kwa sasa naendelea vizuri na ninayo furaha kurejea tena dimbani."

"Nawashukuru nyote. Kidogo kidogo itakaa sawa"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’