Yanga ilishafunga usajili - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2023
Yanga ilishafunga usajili - Kamwe

Leo zimeibuliwa propaganda huko kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna mchezaji amepokwa huko uwanja wa ndege akiwa ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na Yanga

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesisitiza kauli yake aliyoitoa jana kuwa walishafunga usajili wa msimu huu hivyo kinachoendelea ni maigizo tu

"Tulijua haya yatatokea ndio maana tukasema mapema kuwa tumeshafunga usajili, wachezaji wote tuliowahitaji wameshasaini mikataba yao zoezi lililobaki ni kuwatambulisha tu"

"Leo usiku tutatambulisha mchezaji mmoja halafu hao wengine tutawatambulisha kwa utaratibu ambao tumeuandaa"

"Sisi hatununui wachezaji 'online', Wananchi watulie muda wa kushusha vyuma umekaribia," alisema Kamwe

Kiungo Fabrice Ngoma ndiye anayetajwa kutua nchini kujiunga na Simba, propaganda zikitengenezwa kudai huyo ndiye namba sita ambaye Kamwe amekuwa akitamba nae kwa wiki kadhaa

Kamwe amesema Wananchi watulie namba sita wao yupo na watamtambulisha katika wakati mwafaka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’