Wiki ya Mwananchi inazinduliwa Mwanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2023
Wiki ya Mwananchi inazinduliwa Mwanza leo

Historia inakwenda kuandikwa jijini Mwanza leo katika uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni Julai 22 uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni katika uwanja wa Furahisha shamrashamra za uzinduzi huo zitafanyika

Mwanza imepewa heshima kubwa kwa Wiki ya Mwananchi kuzinduliwa huko, hakuna shaka Wananchi watajitokeza kwa wingi

Wasanii wakali wakiongozwa na Mr Mwanza Mwanza, Farid Kubanda 'aka' Fid Q pamoja na Bilnas watapamba jukwaa sambamba na wasanii wengine 'kibao'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’