Mbadala wa Msuva huyu hapa

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
21 Jul 2017
Mbadala wa Msuva huyu hapa
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamekamilisha usajili wa Baruan Yahya Akilimali kijana aliyemaliza kidato cha sita mwaka jana nchini Uganda.

Baruani ni mdogo wake Yahya Akilimali aliyewahi kutamba kwenye soka la Tanzanania miaka michache iliyopita.

Baruani amesajiliwa baada ya kumvutia Mwalimu Lwandamina na huyu atasaidiana na Juma Mahadhi kuziba pengo la Simon Msuva.

Kwa wale wenye mashaka kuhusu dogo huyu wasubiri wakati timu itakapoanza mazoezi ya uwanjani ndio wataelewa faida ya kufanya usajili 'kimyakimya'.

Amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga baada ya kukataa ofa ya uraia wa Uganda aliyokuwa ameahidiwa ili achezee timu ya Taifa 'Uganda Cranes'
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’