'Pira Gamondi' linaandaliwa Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2023
'Pira Gamondi' linaandaliwa Avic Town

Katika kilele cha wiki ya Mwananchi, mashabiki wa Yanga walishuhudia dakika 90 bora za kikosi cha kocha Miguel Gamondi katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs

Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0

Kipindi cha kwanza Gamondi alitumia kikosi tofauti na kipindi cha pili. Ni kocha jasiri tu ambaye anaweza kufanya maamuzi kama hayo pamoja na kuwa ulikuwa mchezo wa kirafiki

Ule ulikuwa mwanzo tu, sasa Yanga inajifua sawasawa ikiwa na wachezaji wote waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano 2023/24

Gamondi ameendelea kuingiza mbinu zake katika kikosi, jambo la uhakika ni kuwa msimu huu Wananchi wataendelea kupata burudani ambayo itaambatana na matokeo mazuri uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’