Mshambuliaji mpya wa Yanga Hafiz Konkoni ameungana na wachezaji wenzake Avic Town katika maandalizi ya pre-season
Konkoni alitambulisha kutua Yanga juzi akitokea klabu ya Bechem United ya Ghana
Huyu ndiye aliyerithi mikoba iliyoachwa na Fiston Mayele aliyetimkia Pyramids Fc ya Misri

Tunasema hivi; tabu iko palepale...!
ADVERTISE HERE