Kikosi cha Yanga leo kimecheza mechi mbili za kirafiki katika uwanja wake wa mazoezi Avic Town
Asubuhi Yanga iliumana na Friends Rangers na kuibuka na ushindi wa mabao 6-1
Yanga imehitimisha mchezo wa pili jioni hii kwa kuumana na JKU ya Zanzibar mchezo uliomalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana
Michezo hii ilikuwa maalum kwa Kocha Miguel Gamondi kuwaangalia wachezaji wake wote
Yanga imehitimisha pre-season na sasa kituo kinachofuata ni mkoani Tanga kutetea Ngao ya Jamii
ADVERTISE HERE