Skudu aanza mazoezi mepesi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2023
Skudu aanza mazoezi mepesi

Winga wa Yanga Skudu Makudubela jana alirejea uwanjani akifanya mazoezi mepesi siku moja baada ya kupata majeraha katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc siku ya Jumatano

Hii ni habari njema kwa Wananchi kwani huenda wakamshuhudia Waziri huyo wa raha kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Simba siku ya Jumapili

Kikosi cha Yanga kiliendelea na mazoezi jana kujiandaa na mtanange huo wa fainali dhidi ya watani zao Simba ambao jana waliponea chupuchupu mbele ya Singida FG wakishinda kwa mikwaju ya penati baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Yanga inajipanga kuhakikisha inatetea Ngao ya Jamii kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’