Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Salum Abubakar 'Sureboy'
Katika misimu yake miwili, Sureboy amekuwa sehemu ya wachezaji muhimu katika kikosi kilichoongozwa na kocha aliyeondoka Nasreddine Nabi
Ameanza taratibu kuingia kwenye kikosi cha kocha Miguel Gamondi lakini hakuna shaka, atakuwa na nafasi yake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Happy Birthday Sureboy...!
ADVERTISE HERE