Yanga Princess imesukwa upya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2023
Yanga Princess imesukwa upya

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema wakati wowote wataanza kutambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa na Yanga Princess kwa ajili ya msimu huu 2023/24

Jana Yanga Princess ilitangaza kuwapa 'THANK YOU' wachezaji 13

"Timu hii imekuwa ikitupa unyonge sana Wananchi lakini katika miezi hii miwili, nimeshuhudia nguvu na akili kubwa ikitumika kuijenga Yanga Princess kwa ajili ya msimu ujao"

"Imefanyika tathmini ya kina na majibu sahihi yamepatikana, yamefanyika maamuzi magumu katika kuianza safari hiyo na InShaa Allah kuanzia kesho (leo) tutaanza kutambulisha nyota wapya wa anga Princess kwa ajili ya msimu ujao"

"Asante kwa dada zetu kwa utumishi wao na tuwatakie kila la kheri katika safari yao mpya. Hatutatoa faraja kwa mtu msimu ujao .. Watalia Kiumeni na Kikeni," alitamba Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’