Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji
Unapozungumzia mafanikio ya Yanga katika misimu hii miwili iliyopita hutakosa kutaja jina la Arafat
Arafat amefanya kazi bega kwa bega na Rais wa Yanga Injini Hersi Said wakishirikiana vyema na Kamati ya Utendaji katika kuhakikisha Wananchi wanaendelea kupata furaha kutoka kwa timu yao
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake..

HAPPY BIRTHDAY ARAFAT...!
ADVERTISE HERE