Wachezaji wa Yanga leo wamerejea mazoezini wakiwa na ari na morali kubwa baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki
Yanga inajiandaa na mchezo dhidi ya Al Merrikh kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa ambao utapigwa Jumamosi Septemba 30 katika uwanja wa Azam Complex










ADVERTISE HERE