Yanga kuikabili Welayta Dicha April 07

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Mar 2018
Yanga kuikabili Welayta Dicha April 07
Mchezo wa kwanza wa mtoano kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia utapigwa Jumamosi ya April 07, 2018 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo unatarajiwa kupigwa siku 10 baadae, April 17 huko nchini Ethiopia.

Yanga tayari imeanza kujifua kuelekea mchezo huo sambamba na ule wa kombe la FA dhidi ya Singida United utakaopigwa mapema, April 01, 2018.

Ushindi katika dimba la nyumbani ndio matokeo ambayo yataiweka Yanga kwenye mazingira mazuri ya kutinga hatua ya makundi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’