Yanga yaendelea kukimbiza mitandaoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2023
Yanga yaendelea kukimbiza mitandaoni

Klabu ya Yanga imeendelea kuwa miongoni mwa klabu zinazofuatiliwa zaidi kwenye mitandano ya kijamii

Kwa mujibu wa takwimu za mwezi Septemba kwa mtandao wa Instagram, Yanga imeshika nafasi ya pili nyuma ya Al Ahy

Unaweza kusema ni ushindani kati ya Yanga na Al Ahy kwani mwezi August 2023 Yanga ilishika nafasi ya kwanza kwa klabu zinazofuatiliwa zaidi barani Afrika

Yanga na Al Ahly ziko kundi D katika ligi ya mabingwa na hakika itakuwa kivumbi na jasho zitakapokutana katika mechi mbili kwenye makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’