Nyota Yanga katika majukumu ya timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2023
Nyota Yanga katika majukumu ya timu za Taifa

Baada ya ligi kusimama kupisha kalenda ya FIFA, Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amewapa wachezaji wake mapumziko ya siku chache kabla ya kurejea kuendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu utakaofuata

Oktoba 25 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Azam Fc katika mchezo ambao alama tatu kwa Yanga zitawarejesha kileleni mwa msimamo wa ligi

Aidha wachezaji walioitwa kwa ajili ya majukumu ya timu za Taifa, wao wameelekea katika Mataifa yao

Wachezaji 10 wa Yanga wameitwa katika timu za Taifa. Wachezaji hao ni Djigui Diarra, Metacha Mnata, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Nickson Kibabage

Wengine ni Mudathir Yahya, Khalid Aucho, Stephane Aziz Ki na Clement Mzize

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’