Serikali yatoa kauli sakata la jezi feki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Oct 2023
Serikali yatoa kauli sakata la jezi feki

Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amewataka Wafanyabiashara kuacha kukimbilia Polisi pale wanapopata changamoto ya kibiashara badala yake waende Tume ya Ushindani (FCC)

Dkt Ashatu aliyasema hayo jana baada ya kutembelea na kukagua ghala lililobainika kuhifadhi jezi bandia za timu za Azam FC, Yanga SC, Simba FC na timu ya Taifa Tanzania

Dk Kijaji amesema Taasisi ya kwanza inayotakiwa kupelekewa malalamiko ni FCC kwa sababu ndiyo yenye mamlaka ya kulinda watumiaji kubaini bidhaa ni bandia au sio bandia, lakini pia kulinda ushindani wenye ufanisi katika biashara

Aidha Dkt Ashatu ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa tume hiyo Wiliam Erio kujiridhisha na kujua idadi halisi ya T-shirt na jezi zote zilipo ili kuhitimisha jambo hili na kushughulika na watuhumiwa wanaomiliki mzigo huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya Tsh Bilioni 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’