Aucho anawasubiri Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2023
Aucho anawasubiri Simba

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho jana hakuwa sehemu ya kikosi kilichoivaa Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi aliamua kumpa mapumziko Aucho huku nafasi yake ikichukuliwa na Zawadi Mauya aliyeonyesha kiwango bora sana katika mchezo huo

Aucho ana kadi mbili za njano, kama angetumika jana kulikuwa na hatari ya kuonyeshwa kadi ya tatu na hivyo angekosa mchezo dhidi ya Simba

Gamondi amepania kuchukua alama zote tatu dhidi ya Simba ili kuhakikisha Wananchi wanaianza safari ya ubingwa wa tatu mfululizo

Gamondi amesisitiza kuwa baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu Fc, hawapaswi kupoteza mchezo mwingine wowote msimu huu

Katika mchezo dhidi ya Singida BS Gamondi alianza na kipa Dijgui Diarra, Attoula Yao, Joyce Lomalisa, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Zawadi Mauya, Mazi Zingeli, Mudathir Yahya, Stephan Aziz Ki, Konkoni na Pacome Zouzoua

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’