Mapema leo balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar alitembelea ofisi za Yanga na kupokelewa na Rais Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Watendaji wote kwa ajili ya mazungumzo juu ya mahusiano kati ya Klabu na Uingereza hususani katika maendeleo ya soka








ADVERTISE HERE