Mudathir kuwakabili Simba Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2023
Mudathir kuwakabili Simba Jumapili

Kiungo Mudathiri Yahya atakuwa sehemu ya mpango wa mechi dhidi ya Simba ambayo itapigwa Jumapili Novemba 05 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kulikuwa na hofu juu ya hatma ya Mudathir baada ya tukio la kutosalimiana na wachezaji wengine kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc, yeye na Feisal Salum wakichelewa kuingia uwanjani

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu, imemtoza Mudathir faini ya Tsh Miloni 2 kutokana na tukio hilo

Aidha mwamuzi msaidizi namba moja wa mchezo huo Janeth Balama ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguuko mitatu kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu

Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 katika mchezo dhidi ya Azam Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 23 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’