Wachezaji nane wa Yanga wamejumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger na Morocco
Walinda lango Aboutwalib Mshery na Metacha Mnata wote wamejumuishwa katika kikosi hicho huku walinzi Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Ibrahim Bacca na Nickson Kibabage nao wakijumuishwa
Katika kikosi hicho pia wamo Mudathir Yahya na Clement Mzize

ADVERTISE HERE