Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kati ya Yanga Gift Fred
Fred alitua Yanga dirisha lililopita la usajili akitokea klabu ya SC Villa ya Uganda
Fred bado hajapenya katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi lakini ameendelea kupambana kwenye kiwanja cha mazoezi kulishawishi benchi la ufundi
Iko wazi, safu ya ulinzi ya Yanga ina ushindani mkali, Bakari Nondo Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Hamad wote wako katika kiwango bora
Gamondi amekuwa akiwatumia nyota hao watatu huku Fred akiendelea kupatiwa muda katika baadhi ya mechi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY FRED...!
ADVERTISE HERE